Kampeni ya Shinda na Sim Account ya CRDB imechezesha ndoo yake ya tano ambapo Alhamisi hii (tarehe 1/11/2018) wamewatangaza washindi wawili, moja wa milioni 2 na mwingine wa milioni 1 pamoja na wengine kumi wa laki moja moja.
Friday, November 2, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

